
Mnada Wa Hadhara Nyumba
Kwa idhini tuliyopewa na Benki ya Crdb Makao Makuu tarehe 22/6/2023 tutauza Kwa Mnada wa hadhara Nyumba iliyopo Eneo la Chidachi Kusini Jiji la Dodoma kiwanja namba 45 Kitalu L. Ukubwa wa Eneo mita za mraba 588 mnada utafanyika kuanzia saa nane Mchana na kuendelea wote mnakaribishwa.



