
Mnada Wa Hadhara Nyumba
Kwa idhini tuliyopewa na Benki ya Crdb Makao Makuu tarehe 27/6/2023 tutauza Kwa Mnada wa hadhara Nyumba iliyopo Eneo la Goba jiji la Dar es salaam Ukubwa wa Eneo mita za mraba 1290 mnada utafanyika kuanzia saa tano asubuhi na kuendelea wote mnakaribishwa.


