
Mnada Wa Hadhara Nyumba
Kwa idhini tuliyopewa na Benki ya Crdb Makao Makuu tarehe 22/6/2023 tutauza Kwa Mnada wa hadhara Nyumba iliyopo Eneo la Chidachi Mashariki Jiji la Dodoma kiwanja namba 31 Kitalu L. Ukubwa wa Eneo mita za mraba 600 mnada utafanyika kuanzia saa sita Mchana na kuendelea wote mnakaribishwa.


